zamami pale stendi palikuwako soko na tulikuwa tunapata mahitaji. Kwenye mataa karibu na kituo cha mafuta kulikuwa na mwembe ambao kivuli chake kilitumiwa na vinyozi wa kimakonde nakumbuka wakati ukimwi unaanza kuenea mwanzoni mwa miaka ya 80 ilitulazimu tuwe tunajinunulia nyembe na kuwakabidhi hao vinyozi. wakati huo kunyoa kwa mashini za umeme ilikuwa haijaenea sana.