Bongo hip hop artist top 10

Bongo hip hop artist top 10

Joined
Feb 7, 2014
Posts
38
Reaction score
0
1-Fid q
2-Nikki mbishi
3-Stereo
4-One the incredible
5-Chindo man
6-Songa
7-Joh makini
8-Bou Nako
9-Young killer
10-P the mc
Kwa mtazamo wangu hebu yako 2one
 
Umeanza vizuri ila ulipowaweka mandina wa Tamaduni Music ah!hadi umeniondoa kwe mood
 
Kwa hawa wa kizaz kipya list yangu hii;

1. Nikki Mbishi
2. Nikki II
3. One
4. Stereo
5. Nash MC
6. Stamina
7. Young Killer
8. P ze MC
9. Songa
10. Godzilla/Izzo B
 
Young killer anafanya nini kwenye hyo list.??

Roho 7 yukwapi kwenye hyo list..
 
Kwa hawa wa kizaz kipya list yangu hii;

1. Nikki Mbishi
2. Nikki II
3. One
4. Stereo
5. Nash MC
6. Stamina
7. Young Killer
8. P ze MC
9. Songa
10. Godzilla/Izzo B


A.Y amemchakachua sana Sterio Singasinga a.k.a Chundabadi Special.
Hapo no. 4 mtupie Songa na no. 9 mweke Sterio, pia Nansh Mc akae no. 3 na One arudi no. 6.
 
Kwa hawa wa kizaz kipya list yangu hii;

1. Nikki Mbishi
2. Nikki II
3. One
4. Stereo
5. Nash MC
6. Stamina
7. Young Killer
8. P ze MC
9. Songa
10. Godzilla/Izzo B

Ina maana ndomo hamna?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom