Bongo fleva

Bongo fleva

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,636
Reaction score
3,167
Wakuu habari..!!!hivi kwanini siku izi mziki wa bongo fleva nyimbo zao zimekuwa azina ujumbe mzuri ila zimekuwa na ujumbe wa matusi sana mfano zamani mziki wa bongo fleva mtu ukisikiliza nyimbo kama za kina TID zeze nyimbo nzuri mziki mzuri hadi raha Q chief namtafuta popote alipo,Kasim mganga awena,lil gheto kidato kimoja,Mr blue Mapozi,tabasam,Pasha penzi unalo nipa,Lad j dee nyimbo yani miaka ya nyuma tulikuwa tunasikiliza nyimbo ujumbe mzuri sana.

Hakuna matusi wala nini ila sasa awa New generation aisee mziki wao wa sikuizi ni matusi balaa sijui nawashwa,cjui nipe chuzi la chukuchuku ninywe bakuli zima,cjui basikeri tukae bomba la mbele,yangu na yako zikikutaka nalegea yani matusi matupu wanaimba aisee hasa hasa hawa WCB wanaongoza kwa kuimba matusi aisee yani wanatukana balaa na huyu Nandi cjui hawa THT aisee nyimbo za mapenzi azina ujumbe mzuri ni matusi tuu.Zamani diamondi alikuwa anaimba nyimbo za mapenzi nzuri sanavujumbe mzuri sana kama ukimuona,mawazo yani nyimbo nzuri sana sasa kwa nn sikuizi wanaimba matusi sana au ndo soko la mziki liko kwny matusi...
 
Back
Top Bottom