Nimeshindwa kui define kwa sababu sielewi ulikuwa unatengeneza beat kwa ajili ya muziki wa style gani i.e sijui ni taarabu, wabanapua, zuku au hiphop, yaani sijaelewa ulikuwa unalengo la kutengeneza ilimladi ni beat tu

Yap bro hapo nimejaribu kuleta ladha mpya kwenye hizi beat za bongofleva za kawaida nataka nifanye kitu kipya tofauti na hizi za kawaida... Ni bongo fleva pia though naweza nkabuni jina lingine!
Beat nzuri sana mkuu ila jaribu kucheck issue ya Scaling (Note Keys) hasa kwenye bass ambayo ipo offkey kabisa..
Kama ni beginner ninakushauri uactivate Ghost Channel (Piano Roll_Tools_Ghost channel) itakusaidia kukuonesha scale images za melody nyingine hivyo kuassist kutotoka nje ya key.