TsotsiKwesta
Senior Member
- Jan 12, 2014
- 126
- 258
Kulikua kuna uzi wa nyimbo za zamani za Bongo Fleva. Kama kuna mtu anaweza ni quote nitashukuru.
Natafuta nyimbo hizi hapa
1. Nuruchiko- Kumfukuza mpenzi eti kisa binti
2. P funky ft Dully Sykes- please forgive
3. Nature ft Ngwear na KR- Msela
4. Mandojo na domokaya- Dingi
Nyimbo za Imam Abbas na Saigon
Natanguliza shukrani za dhati
Natafuta nyimbo hizi hapa
1. Nuruchiko- Kumfukuza mpenzi eti kisa binti
2. P funky ft Dully Sykes- please forgive
3. Nature ft Ngwear na KR- Msela
4. Mandojo na domokaya- Dingi
Nyimbo za Imam Abbas na Saigon
Natanguliza shukrani za dhati