Preta mimi na wewe tumeanza kuzenguana lini, hata ufikie hatua ya kwenda kuninywea Castle Lite (lakini iliyokamuliwa viroba chapa Jogoo ndani yake). Au mpaka nilambe kidole cheye mchanga na kusema "Hakyanani vile..." ndo uamini kama we are here for serious matters?
Watu tulimsubiri Pinda mpaka Jumatatu yake na bado akaja kuzingua, sembuse
Mphamvu hata masaa 72 bado?
Loh, wacha hiyana mtoto mzuri.
For JF's sake
Mphamvu won't let you down.
Sawasawa?