Bonge la Kiburudisho.................

Bonge la Kiburudisho.................

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
7.jpg
Haya maneno hapo yamenitafakarisha
 
kwani watanzania ndio Taifa stars au???????
 
ngoja wazee wa libolo waikatae hiyo rangi oohooo
Wale wako flexible wewe unafikiri ni wale wazee wa FIVE STARS, wazee wa CHANNEL 5 wanaoogopa hata kivuli cha rangi nyekundu.
 
saa hizi wapo bagamoyo wanaloga ukiuliza utaambiwa kambi,sasa sijui ni kambi ipi ikwa juzi tu wametoka nje ya nchi.
 
Kumbe kambi ya uturuki ni kwa ajili ya mechi tatu tu, ngoja tuone na mechi ya watani wataenda wapi. Uturuki walienda kubadilisha msosi tu huku viongozi wakifanya biashara zao tu.
 
uturuki wakacheza na wauza maji halafu wakatuambia wamecheza na wajerumani,yote kwa yote simba na yanga zinatia aibu mkuu.hazifanani na majina yao.
 
Ngoja tuone mwaka huu Azam atafanya nini akianzia na shughuli ya Jumamosi ili kuleta changamoto kwa viongozi wa hizo timu mbili kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom