Bondo la nguvu

mbona kama kampeni za magamba au wachezaji wa brazili wanashindana kupiga pusti.
 
Duh!jamaa wa kwanza hataki mchezo kwenye mambo ya kula,maana naona anaonyesha concentration ya hali ya juu!
huyomwenye miwani analamba vidole kama mtoto na sahani kaiinamia kama kwenzi lingepaa kwa bluetooth ningeshamrushia pambaf ulaji gani huo.
 
Ukimaliza huo msosi lazima uzimie kudadeki.
hawa ndo wa ukweli,huo msosi unaisha na anaomba kuongezewa!!!hawa chips labda robo gunia la viazi ndo anaona amekula!!nawapenda sana wa dizaini hii hata kwenye gemu hawachoki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…