Kinadada wengi kwa kawaida huwa wanakula kidogo,sijui kwa sababu ya mashauzi au miili yao huwa hahitaji chakula kingi,lakini kwa hawa ni ajabu,maana wamejaza chakula kwenye sahani zao kama kilele cha mlima kilimanjaro!!
Hapa napafananisha na kibera nairobi kenya!!
Duh!jamaa wa kwanza hataki mchezo kwenye mambo ya kula,maana naona anaonyesha concentration ya hali ya juu!
Mbuzi Mzee duh hizo nguna umezitoa wapi aise
Halafu hao wadada wanakata nguna mbaya aise
Kinadada wengi kwa kawaida huwa wanakula kidogo,sijui kwa sababu ya mashauzi au miili yao huwa hahitaji chakula kingi,lakini kwa hawa ni ajabu,maana wamejaza chakula kwenye sahani zao kama kilele cha mlima kilimanjaro!!
Inawezekana yakawa ni mashindano,ndiyo maana kinadada wamekomaa kweli kweli!!Afu haya ni mashindano nini!