Na kuna mmoja alijiuaAnamtoto wa kike anatako zuri alafu anarusha ngumi sio poaπ
Lile songi la The_game_Ali_bomaye ndo hii kumbeRumble in the jungle....
October 30, 1974 Zaire
Hili lilikua pambano lake dhidi ya Mohamed Ali...
Kule Zaire (DRC) jamaa alifanywa achukiwe sana maana Mohamed Ali aliwaambia wacongoman kua George Foreman ni mbeligiji hivo Ali atampiga ili kulipiza kisasi cha wabeligiji kuwatesa wacongoman kumbuka wabeligiji ndo walikua wanaitawala Kongo...
Siku ya pambano Mohamed Ali alikua na mashabiki rundo wote wakiimba Ali mpige mbeligiji huyo.. "Ali boma ye..."
Na kweli jamaa alikula kichapo kama kahaba aliyefumaniwa...View attachment 3279887
Na hili ndio lilikua pambano la kwanza jamaa kuanguka e? Humu ndio ile style ya ya rope-a-dope ya Ali ilifanya kazi sana... Malegend wote wanapukutika sasa.Rumble in the jungle....
October 30, 1974 Zaire
Hili lilikua pambano lake dhidi ya Mohamed Ali...
Kule Zaire (DRC) jamaa alifanywa achukiwe sana maana Mohamed Ali aliwaambia wacongoman kua George Foreman ni mbeligiji hivo Ali atampiga ili kulipiza kisasi cha wabeligiji kuwatesa wacongoman kumbuka wabeligiji ndo walikua wanaitawala Kongo...
Siku ya pambano Mohamed Ali alikua na mashabiki rundo wote wakiimba Ali mpige mbeligiji huyo.. "Ali boma ye..."
Na kweli jamaa alikula kichapo kama kahaba aliyefumaniwa...View attachment 3279887
Halafu DON KING bado yupo tu...DaahNa hili ndio lilikua pambano la kwanza jamaa kuanguka e? Humu ndio ile style ya ya rope-a-dope ya Ali ilifanya kazi sana... Malegend wote wanapukutika sasa.
Hata hivyo aliwaweka kwenye ramani ya dunia ya masumbwi watu wengi sana... Kiufupi aliwapa maishaπ π π kwahiyo wacha aendelee kuvuta pumzi kwanzaHalafu DON KING bado yupo tu...Daah