Toka enzi...hiyo ni njia ya maji...watu wameifuata wenyewe....pia bonde la mpunga msasani....pia jirani kwa warioba uelekeo kawe....baadhi ya maeneo mwananyamala watu wamejenga juu ya ziwa....jangwani wote mwapafahamu....baadhi ya maeneo ya tegeta uelekeo Kibo complex kwa mbele ule ni mto....maeneo ya vingunguti uelekeo TAZARA pia watu wamejenge juu ya mto....any way......
Una mimba ya Chadema ?pitia huku lingusenguse nikupatie ulanzi ,hii sio rocket science,mafuriko ya bonde la mkwajuni limesababishwa na serikali ya ccm kuruhusu royal families kujenga kule mikokoni ni kuingilia uasili wa mkondo wa maji kwa mto wa msimbazi
Nilipita jana saa tano asubuhi na leo nimepita saa kumi jioni, itakuwa ni mvua ya jana mchana ilinyesha kubwa, lawama ziende kwa serikali kufumba macho watu wakijenga kwenye mkondo wa maji