Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,450 Reaction score 10,800 Jun 24, 2020 Thread starter #21 Zamaulid said: Hivi si kuna kipindi walisema ni marufuku kununua mafuta kwenye madumu...iliishia wapi?! Click to expand... Afande Mshana na Moroto walipiga marufuku
Zamaulid said: Hivi si kuna kipindi walisema ni marufuku kununua mafuta kwenye madumu...iliishia wapi?! Click to expand... Afande Mshana na Moroto walipiga marufuku
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,599 Jun 24, 2020 #22 Wao wamejuaje kama mwezi ujao watapandisha bei. Nani kavujisha hiyo siri toka ewula? Na hao Ewula wayaipandisha kwa kigezo gani?
Wao wamejuaje kama mwezi ujao watapandisha bei. Nani kavujisha hiyo siri toka ewula? Na hao Ewula wayaipandisha kwa kigezo gani?
Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,940 Reaction score 7,226 Jun 24, 2020 #23 Eti jamani nini hiki?? Mafuta hakuna ni hujuma za upinzani au mabeberu au ukosefu tu wa uzalendo?? Au ndiyo tutaambiwa watu wanatumia mafuta ovyo! Maana hizo ndizo sababu za msingi tunazopewaga watz kila mara.. Hili la watu kujipanga foleni kuvizia petrol tumekuwa Venezuela?? Everyday is Saturday.......................... 😎
Eti jamani nini hiki?? Mafuta hakuna ni hujuma za upinzani au mabeberu au ukosefu tu wa uzalendo?? Au ndiyo tutaambiwa watu wanatumia mafuta ovyo! Maana hizo ndizo sababu za msingi tunazopewaga watz kila mara.. Hili la watu kujipanga foleni kuvizia petrol tumekuwa Venezuela?? Everyday is Saturday.......................... 😎
mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,061 Reaction score 4,848 Jun 24, 2020 #24 Umeongea point Sana..
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,043 Reaction score 9,672 Jun 26, 2020 #25 Suala la Msingi ni Kwamba mafuta Yameshuka sana Bei kwenye soko la Dunia kimsingi tunatakiwa kuuziwa Lita kwa bei ndogo. Ila Hawa wafanyabiashara wakubwa watafanya Masanaa yapande tena mwezi ujao mana wanajuana ni rahisi kupanga. Lakini Cha msingi hata ukijaza madumu Utatumia siku ngapi?? Muda mfupi sana.Kitu cha kudumu ni Serikali kuthibiti bei.
Suala la Msingi ni Kwamba mafuta Yameshuka sana Bei kwenye soko la Dunia kimsingi tunatakiwa kuuziwa Lita kwa bei ndogo. Ila Hawa wafanyabiashara wakubwa watafanya Masanaa yapande tena mwezi ujao mana wanajuana ni rahisi kupanga. Lakini Cha msingi hata ukijaza madumu Utatumia siku ngapi?? Muda mfupi sana.Kitu cha kudumu ni Serikali kuthibiti bei.
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,398 Reaction score 7,252 Dec 22, 2020 #26 Petrol Leo hakuna ..vituo vingi imeadimika