Nini ambacho hakieleweki hapo?Nasubiri wanaojua Kiingereza waamke Kesho ili watutafsirie vizuri tuliokimbia umande kusudi nasi tupate angalau kung'amua chochote katika hiyo taarifa.
Kamata passport zao fasta wasikimbie!Duuhh hili bonge la bomu likija kulipuka watu wanaozea segerea soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hii inatisha sana mkuu.Ndio huyo huyo!!Kumbe unampata vizuri