Bomu la Arusha Mulongo achunguzwe pia .....

Leo Mulongo alipigiwa simu na chombo kimoja cha habari na akaulizwa jambo la kuacha msiba nusu nusu , alijibu kuwa hayo ni masuala binafsi na hayahusiani na kazi yake...
 

Mnyika, msipuuze habari hii. Tafuteni ukweli, msimsahau SAVIMBI!... Savimbi ametoka chuo kikuu akiwa maskini wa kutisha, lakini baada ya kupata ulaji kwake watu wafe chama chake kiwepo madarakani.
 
Tayari umeshachunguza wewe sasa unataka uchunguzi gani zaidi?

kwa hiyo siku hiyo wanazi wa CHADEMA wote mlikuwa huku? teh teh teh, unafiki mwingine bwana.

hilo ndilo neno siyo hawa wanaobwabwaja na kumsingizia mkuu wa mkoa, tusubiri tu LWAKATARE wengine watagundulika tu.

Wanaouliwa na polisi kwenye mikutano ya CHADEMA ni watu wa makabila mbalimbali na dini zote!... Hakuna aliye salama... Watauliwa ndugu zenu tutaomboleza wote!... Savimbi naye achunguzwe.
 

Je umefikiria pia kuwa angekuwa anahusika au kujua tukio hili mapema kwake ingekuwa sababu nzuri kutokuwepo katika eneo la tukio; yaani hasingerudi mapema kama ulivyoeleza?
 

Huyu ni shahidi muhimu sana , hata kama siyo leo , inaweza kuwa baadaye , asante sana mkuu kwa kuliona hili , siku ya mwisho kila goti litapigwa !
 
 
Baada ya kuandika hapa jana , RC amepata hofu kubwa na wamemtafuta aliyekuwa anapiga picha za video za msiba na kumhoji kama mkanda upo ama alishawapatia wafiwa , na wameenda pia kwa wafiwa wakitaka kujua kama mkanda umepewa watu wa Chadema .............nitawajuza zaidi kwani Mulongo ameanza kupanic.
 
Mulongo alitakiwa awe mshukiwa wa kwanza,mwigulu afuatie,mwampamba na shonza pia ni lazima wawemo kwenye list pamoja na yule kijana wao waliyemmwagia tindikali wao wenyewe.
 
Jamaa niliwah muona siku moja ana Lips makubwa km chakubanga..huku akibana bana mimacho hadi inajaa matongotongo kila muda....sijui haya majinga CCM wanayayapaje hadi yanakuwa mengi hivyo.....ccm inabidi watuambie siri ya kupata majinga kwa hivyo?nani mtaalamu wakuyasogeza ktk meza ya mkulu....
 

Hahaha huyu mulongo mimi simuelewi, akiongea anaongea kwa jazba huku mapua yake makubwa kama ya nguruwe yakipanuka juu chini juu chini kila aongeapo, huyu jamaa sio binadamu ni mnyama
 
Mulongo ni mmoja wa wapangaji wa mauaji ya viongozi wa Chadema Arusha na kwa kuwa Rais alimpeleka pale kwa kazi maalum lazima ana ridhaa ya mamlaka za juu. Alishamuapia Lema kwa hiyo ni mbinu ya kutekeza azma yake ndio alikuwa anaandaa. Viongozi wasiohimili kukosolewa hawafai kabisa na wanapoua watu wataongoza miti, halafu eti Obama anawasifia ni aibu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…