Nimesoma kauli za RC wa Arusha leo kwenye vyombo vya habari vya Tanzania kuwa makachero wameshanasa ushahidi muhimu , nafikiri ni kauli ya mfa maji, naweka hapa jambo moja la kuwasaidia polisi kumchunguza Huyu Rc wa Arusha bwana Magesa Mulongo.
siku ya tukio , Magesa Mulongo alikuwa kwenye Msiba Rombo Mkoani Kilimanjaro, na ktk msiba ule ilipofika majira ya saa nane mchana hata kabla ya mwili wa marehemu kuingizwa kaburini kwa maziko aliomba radhi kuwa kuna tukio muhimu Arusha na anatakiwa kuondoka kuelekea Arusha , hii ilikuwa saa nane mchana , aliondoka msibani na kuomba mkuu wa Wilaya ya Rombo awe mwakilishi wake kwenye msiba huo.
Baada ya kuondoka , jioni saa kumi na mbili tunapata habari za kulipuka kwa bomu, polisi muulizeni haya,
Ni tukio gani muhimu alikuwa analifuatilia Arusha ? Au ndio hilo la mlipuko wa Bomu?
Mbili,kama sio tukio la bomu kulikuwa na tukio gani lingine huko Arusha?

kwa hiyo siku hiyo wanazi wa CHADEMA wote mlikuwa huku? teh teh teh, unafiki mwingine bwana.Uko sawa,kwani siku hiyo nami nilikuwa ninatokea Ms ambapo nilimpa msaada rafiki yangu kuwasindikiza watoto wake shule.,Cha ajabu dereva wa huyu ndugu alikuwa na haraka sana na kulazimisha ku-overtake hata sehemu ambazo sio salama sana,nasi tukabaki tukijiuliza ni nini hasa kimkimbizacho vile huku akiwa na boss wake???Ukweli alikuwa na mwendo kasi ila ule wa Nchemba kwenda kuchukua bag na vitu vyake guest house baada ya mlipuko ulikuwa mkali zaidi.
Mungu aonaye sirini atayafichua yote.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
hilo ndilo neno siyo hawa wanaobwabwaja na kumsingizia mkuu wa mkoa, tusubiri tu LWAKATARE wengine watagundulika tu.
kwa hiyo siku hiyo wanazi wa CHADEMA wote mlikuwa huku? teh teh teh, unafiki mwingine bwana.
Inaelekea walipanga halafu kubinafsisha utekelezaji huku mpango mzima ukigharamiwa na mafisadi wanaofaidika na umea wa ccm arusha.Nimesoma kauli za RC wa Arusha leo kwenye vyombo vya habari vya Tanzania kuwa makachero wameshanasa ushahidi muhimu , nafikiri ni kauli ya mfa maji, naweka hapa jambo moja la kuwasaidia polisi kumchunguza Huyu Rc wa Arusha bwana Magesa Mulongo.
siku ya tukio , Magesa Mulongo alikuwa kwenye Msiba Rombo Mkoani Kilimanjaro, na ktk msiba ule ilipofika majira ya saa nane mchana hata kabla ya mwili wa marehemu kuingizwa kaburini kwa maziko aliomba radhi kuwa kuna tukio muhimu Arusha na anatakiwa kuondoka kuelekea Arusha , hii ilikuwa saa nane mchana , aliondoka msibani na kuomba mkuu wa Wilaya ya Rombo awe mwakilishi wake kwenye msiba huo.
Baada ya kuondoka , jioni saa kumi na mbili tunapata habari za kulipuka kwa bomu, polisi muulizeni haya,
Ni tukio gani muhimu alikuwa analifuatilia Arusha ? Au ndio hilo la mlipuko wa Bomu?
Mbili,kama sio tukio la bomu kulikuwa na tukio gani lingine huko Arusha?
Chunga maandishi yako,sina tabia wala asili ya unafiki achilia mbali unazi,weye kaa na huo unafiki na unazi wako wa kimagamba huku taifa lateketea.
yaani vijana wa CCM wameleweshwa wamekuwa kama weu, hivi wanajihisi wana maadui! kweli viongozi wao wamefanikiwa manaake hawajitambui wala hawajui wajibu wao kwenye taifa! mnachekelea mauaji!