Hatari sana
Hatari sana
Hii serikali ni ya kidikiteta kwahiyo wanavyofanya hivyo wao wanachekelea tu. Ndiyo kuisoma namba kwenyew hukoSerikali iko mbioni kuongeza idadi ya homeless people. Kwanini hawa wasilipwe fidia kubwa kama bei ya soko na kupewa viwanja vilivyopimwa wakajenge huko. Hivi ndiyo hufanywa na Serikali inayojali raia wake badala ya bomoa bomoa na kuwaacha wakiwa hawana pa kwenda.
Bwana masifa anataka aonekane kajenga reli kwa gharama ya chini!Serikali iko mbioni kuongeza idadi ya homeless people. Kwanini hawa wasilipwe fidia kubwa kama bei ya soko na kupewa viwanja vilivyopimwa wakajenge huko. Hivi ndiyo hufanywa na Serikali inayojali raia wake badala ya bomoa bomoa na kuwaacha wakiwa hawana pa kwenda.
Hii serikali ni ya kidikiteta kwahiyo wanavyofanya hivyo wao wanachekelea tu. Ndiyo kuisoma namba kwenyew huko
Hela zenyewe za mikopo hawajapata washaanza kulaza watu nje
Mi wa wabomoleee tu!! Bomoa bomoa akili zitakuja: jamani na watumish niwakumbushe tarehe 4 iyo hapo siku zimeisha!!! Kila mtu ataisoma namba kwa nafasi yake;-
Yaani hawa wameanza vizuri ila hapo tu kwenye kumtetea Magufuli wamenikera kweli.Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa Wakazi wa maeneo ya Tambukareli, Mpanda Hotel na Msasani, wamejikuta katika sintofahamu baada ya Shirika la reli Mkoa wa Katavi kuwataka kubomoa nyumba zao baada ya kuvamia reli na mali zake.
Zoezi hilo ambalo limezikumba kaya takribani 200 kufuatia agizo hilo ambalo wakazi hao wamesema kuwa wao wanashangazwa vipimo vilivyotumika na shirika hilo.
Tutafika tu[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole zao watakaoguswa. Imeshasemwa, sheria ni msumeno. BTW Msouth kumbe yamefika Mpanda? (joke)