Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

Tukumbuke kuwa awamu ya pili ya ujenzi wa standard gauge imeshasainiwa hadi Dodoma,contractors ni haohao Waturuki ni lazima sasa wanahitaji eneo ambalo reli hiyo itapita kwa ajili ya maandalizi ya awali kwa hiyo zoezi hilo ni sahihi maana wakicheleweshwa kupatiwa maeneo ya reli hiyo inapopita watadai waongezewe muda na wananchi wa maeneo hayo walishapewa taarifa na x ziliwekwa muda mrefu kuwa wahame
 
CCM ni laana kubwa sana .
 
Human face kwa waliompigia kura tu na hawa ni wa Mwanza tu, mikoa mingine ni sura ya kishetani tu, roho mbaya, chuki za kutisha mtindo mmoja.
Awamu ya bomoa bomoa

Ujenzi wenyewe wa kitanzania huu ulivyo mgumu

Mtu anadunduliza miaka 5

Inasikitisha

Bomoabomoa isikie kwa watu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…