Mkuu ile treni ina behewa km 20 lkn inavyojaza ni balaaTumieni treni ya Mwakyembe
Vumilieni wakuu
Tumieni treni ya Mwakyembe
Haifiki Segerea, unashukia sheli Tabata kutoka pale unapanda daladala.Hivi treni ya Mwakyembe inapita Tabata mpaka Segerea mkuu...?
.....
Ubomoaji huo utasaidia kuondoa foleni kali katika njia hiyo muda wote. Tunaiomba Serikali kutupia macho eneo hilo na kama inawezekana hata kesho shughuli hiyo ianze.
Hiyo 666 vp boss? Ni kweli maskini wana roho mbaya sana ukute mtoa mada hata banda la makuti hana!Duuh...watu mnahamu ya kubomoa nyumba za wenzenu..hakika hakuna watu wenye roho mbaya kama maskini
666
wItakua kuna mbaya wako ana nyumba mitaa hiyo