popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,363
Mkuu huko kwenu mwanza hamjabomolewa sababu mlimpa kuraGoja wakome wabomolewe tu maana wakiambiwa waachane na ccm bado wanasema wanaiunga mkono goja wakome watz tuna akili za makasi
Mkuu huko kwenu mwanza hamjabomolewa sababu mlimpa kuraGoja wakome wabomolewe tu maana wakiambiwa waachane na ccm bado wanasema wanaiunga mkono goja wakome watz tuna akili za makasi
Exactly MKUU wanabomoa 91.5 m tu kila upandeOkay, kwahiyo wanabomoa 91.5m to be exact?
Roger copied"roger that sir"....we have a target,waiting for your green light....
"are you sure the outspoken past*r is on the target"?...positive sir
"execute the target"..."copy that sir"
Sio siri mkuu...unaweza tamani ondoka hata duniani!Hili jambo lisikie kwa jirani yako omba lisikukute....pata picha wewe mwenye miguu 20×20 unavyochachamaa unatamani hata kumtoa shingo pale unaposikia jirani yako amesogea japo hatua moja halafu ndio umeshapanga panga tofali kimasikini masikini kisha nyumba ije ivunjwe leo!!!inauma sana aisee Mungu awahurumie kwa kweli.
Mpaka kuna sehemu wameiita Rombo.Kimaraa waishii wachagaa wengii hee ndugu zakee kinaa mbowee na lowasaa hee daaa wanyooshwaaa mpk kielewekee jaman
Zaidi ya miaka saba wakiwa wanajua kuwa wanatakiwa kuhama, ila zilifanyika figisu figisu mkuu wakawaacha lakini maandishi hayakufutwa,Rais awaonee huruma, anauwezo wa kuwalipa hata nusu hasaratuu, kama kujifunza wananchi wameshajifunza.
Sio vizuri kusikiliza vilio vya wakina mama na wazee kilasiku kwa mambo ambayo yangeweza kufanywa kiungwana na kuwapa farajakidogo.
Tumuogope MUNGU.
Hizisheria zipohapa dunianituu, napengine anaezitekeleza nayeye anamakosayake, mbele za MUNGU.
Tuwatendee wenzetu yale tunayotaka kutendewa sisi,
Busara inahitajikasana.
....kuna sehrmu wakaiita Rombo, kiti moto kila mahalihuko kunakofanyika ubomoaji ndio waliojazana wale watu wa kutoka kaskazini eeeh
Acha mawazo mgando ndugu yangu, hili suala lipo toka miaka kama nane au saba sema lilisitishwa kwa maslahi ya watu fulani fulani hivi. Wakasahau kufuta dokumenti zake, sasa ni wakati wa kuiwaza Tanzani kwa kipondi cha miaka 50 mbele na sio leo. Hata huu uhuru tunaouna leo kuna watu waliumia mnooo tena mnooo hivyo waleo acha tuumie ila wa kesho watakuja kusifu mkuuKimaraa waishii wachagaa wengii hee ndugu zakee kinaa mbowee na lowasaa hee daaa wanyooshwaaa mpk kielewekee jaman
Haaa haaa haa ! ccm murukee, ya chagadema piga x !heeee za wanaccm hazijapigwa X?
embu tufahamisheni wanaaply mupe muruke uko kwenye kuweka X
Tungepata angalau asilimia kumi za vijana kama wewe tungekuwa mbali mnooItafikia wakati ukiwa umekomaa kiakili utapisha tu Maendeleo , kujitetea na kulaumu hakuta badilisha ukweli wewe ni maskini, juhudi za kupisha maendeleo zitafanya hayo
Mnyika alituambia ni dhaifu kweli, mbunge wa cuf kule Tanga akatuambia anacheka cheka tu !Jakaya alikuwa Binadamu kweli,
Hao watu wanahitaji nini kwa kipindi gani??Dunia ni watu
Maisha ni watu
Siasa ni watu
Uchumi ni watu
Elimu ni watu
Je maisha ni miundo mbinu tu?
Nimecheka mpaka wife kaja kuchungulia asee, kanikuta niko nakohoa na uzee huu jamani mtaniua.Nimeumia tu. 90m badala ya 121.5m wewe uliyebakia bila alama kwenye hiyo 121.5m nakupa kaushauri. Uza kimbilia Kisarawe napo ni darisalama pia. Na usikae penye uwezo wa kuja kuwa kiwanda hata cha cherehani 4