KUMBAMBANDILA
Member
- Feb 21, 2016
- 86
- 62
Nimestushwa na bomoa bomoa kubwa Mbezi ya Kimara, halafu hairipotiwi na vyombo vya habari.
Nyumba na maduka mengi yamebomolewa na zoezi bado bichi kesho linaendelea.
Bila shaka wahusika wanazo taarifa muda mrefu....Nimestushwa na bomoa bomoa kubwa mbezi ya kimara, alafu hailipotiwi na vyombo vya habari.
Nyumba na maduka mengi yamebomolewa na zoezi bado bichi kesho kinaendelea.
Bila shaka wahusika wanazo taarifa muda mrefu....