Magombelema
Member
- Oct 11, 2011
- 15
- 4
Safi sana, wanachi waache kuvamia maeneo kwa kisingizio cha serikali itawalinda.Nimeumizwa na kitendo cha serikali kuwabomolea wananchi jumbazao huko dodoma eti kumpisha mwekezaji.Nimemsikia mama mmoja kwenye taarifa ya habari ya ITV akilia baada ya nyumba yake kuvunjwa huku akisema amani Tanzania haipo.Hii inamaana gani?
Safi sana, wanachi waache kuvamia maeneo kwa kisingizio cha serikali itawalinda.
mmm! Hata hapo unapoishi siku moja utaambiwa umevamia! Labda uwe umepanga NHCSafi sana, wanachi waache kuvamia maeneo kwa kisingizio cha serikali itawalinda.
Safi sana, wanachi waache kuvamia maeneo kwa kisingizio cha serikali itawalinda.
unalijua tatizo vizuri au unakurupuka tu tumia akili zako vema usitumie makalio..
Safi sana, wanachi waache kuvamia maeneo kwa kisingizio cha serikali itawalinda.
KAKA NIMEKUELEWA TENA YARD ILE IPO ROAD LISEVU....LKN HANA X YA MAGUFULI,nilikwa najiuliza MAIMU katoa wapi ubavu huo...kmbe ypo huyo mwizi wa kaskzn.....Habari wana jamvi,
Wakazi hawa kupata haki yao ilikuwa ndoto ya mchana.kuna mtu anaitwa MAIMU. Huyu ndiye kivuli cha kazi yote ya jana.
Ukiwa unatoka dsm kuja dodoma mkono wa kushoto kuna yard kubwa ya matreka ya power tila.hili eneo kwa nyuma yake ndo zahama hii ilipotoke.
Huyu MAIMU ndo anatumika lakini nyuma yake yupo AGREY MWANRI,anayemtumia huyu bwana kufanikisha mambo yake ili yeye asijulikane.
Kumbuka hata matreka yaliyopo hapo yard ni dili la mwanri kwa best yake maimu.
Raia waliofukuzwa na kuvunjiwa ili kupisha ujenzi wa shule ya bwana MAIMU unabaraka za n.waziri AGREY MWANRI.
Kwaiyo hapa kuwa tunalalamika haiwezi saidia.
sinana interprises VS WANANCHI WA NJEDENGWA.
Mahakama ilitoa Notisi ya siku 14,wabomoe waondoke.
Mfupa huo Mh lukuvi aligonga mwamba,Msekela aligonga mwamba,Dr nchimbi kakurupuka.
Ua mtu mmoja wengi wakae kwa amani,na si ua wengi mmoja akae kwa amani.
TBC Hawajawataja Marehemu au wamefufuka,
Waroho wa PESAAAAAAdr nchimbi angeendelea kufundisha tu!hapo udsm!
Waroho wa PESAAAAAA
Who is Maimu?.. Kipi kinamfanya awe na kiburi.
anaharibu personality,alitutelekeza darasani,akaufuata ukuu wa wilaya!leo hii wakaz wali0vunjiwa nyumba wanamzungumziaje?so sad