Miaka hiyo ya nyuma wimbo huu ulipigwa marufuku na aliyekuwa rais wa kipindi hicho ndugu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Sikumbuki ni bendi gani waliimba ila kiitikio chake kilikuwa "bomoa leo, tutajenga kesho, bomoa"
Sasa utataka kuniuliza kwa nini leo nimeukumbuka? Kumbukumbu ya jambo haina siku na wakati maalum. Nami nasema bomoa leo tutajenga kesho.
Pascal Mayalla unaweza kuwa unaukumbuka wimbo huu kama miaka hiyo ulikuwa mpenz wa siasa na music.
Yule mzee ana doctorate kweli ?"Bomoa leo, tutajenga kesho" -- mawazo ya kimaskini sana hayana tija yoyote katika ulimwengu uliostaarabika. Ulaya nyumba zipo hadi within 1m ya barabara yenye lanes 8 maisha yanakwenda ila katu haikubaliki kwenye Tanzania ya Magufuli. Kwake bomoa leo atajenga kesho. Marehemu baba wa Taifa aliwahi sema "barabara za awamu ile hata kona kidogo hazina?"
Yule mzee ana doctotate kweli ?
Ni kosa kisheria kuuliza hivo ?Mkuu hayo yalikuwa kama sikosei maswali ya mwisho mwisho ya Ben Saanane pia. I stand to be corrected.