Bomoa bomoa yaacha kilio Kibamba

Bomoa bomoa yaacha kilio Kibamba

Chama mfu chadema walidhani kuipa serikali makaripio watainyoosha kumbe wao ndiyo wanatakiwa wanyooke

Kwa hivyo unasema bomoa bomoa inafanyika kisiasa zaidi na si kisheria. Jamani tuache sheria zifanye kazi zake .
 
Hivi mtu nyumba imepigwa X kubwa wewe unaenda kupangisha fremu halafu ikivunjwa unalalamika. That is insane
unajua uliongealo au unakukupuka tu?


Tuache siasa Jamani Ili eneo liwe na hadhi Barabara ni Muhimu!! Sasa watu wamejenga hadi kwenye ukingo wa barabara hii ni hatari? Tufike Mahali tuseme sasa hii basi!! Na watu waheshimu sheria bila kusuguana na mamlaka husika!

ww unaonyesha ni zaidi ya mahakama au ujui kusoma
 
Back
Top Bottom