Chuo ni kizuri kipo ndani ya hospital ya mkoa bombo majengo mazuri na nafikiri wanaosoma pale wanakuwa wazuri Sana hospital inavifaa vingi na wanapata experience Sana kwenye kutoa huduma za hospital hasa ukizingatia bombo Kuna wagonjwa wengi mno pale na wana hostel nzuri Sana.. za kisasa.. Kama ukifika utaziona na kuziangalia Mara kibao