H Hurayra Member Joined Apr 9, 2024 Posts 17 Reaction score 20 Apr 11, 2024 #1 Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali
Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,752 Reaction score 22,323 Apr 12, 2024 #2 Hapo kuna mtu anakula training ya type rating au la sivyo ilikuwa kwenye matengenezo ya kuinstall kifaa kipya kwa hiyo wana test performance. Yake.
Hapo kuna mtu anakula training ya type rating au la sivyo ilikuwa kwenye matengenezo ya kuinstall kifaa kipya kwa hiyo wana test performance. Yake.
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,992 Reaction score 24,901 Apr 12, 2024 #3 Sio kwamba gia ya kutua inakataa kweli?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,495 Reaction score 104,267 Apr 12, 2024 #4 Inawasubiri muwe wengi muipokee "heyapoti" na maji muimwagie huku mnasema ..."ndege oyeeee"...!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Apr 12, 2024 #5 Hurayra said: Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali Click to expand... Itakuwa tuna test mitambo na hasa kwenye ku simulate kuangusha na uokozi .. Taabu huwa twaziangusha kikweli kweli kupima utayari wa kuwatoa majeruhi ..
Hurayra said: Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali Click to expand... Itakuwa tuna test mitambo na hasa kwenye ku simulate kuangusha na uokozi .. Taabu huwa twaziangusha kikweli kweli kupima utayari wa kuwatoa majeruhi ..
hagau JF-Expert Member Joined Dec 17, 2023 Posts 1,630 Reaction score 5,560 Apr 12, 2024 #7 Kambaku said: View attachment 2961254 Click to expand... Tufafanulie maelezo picha mkuu
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,857 Reaction score 58,655 Apr 12, 2024 #8 Meid meid
K kidole cha simba JF-Expert Member Joined Jun 3, 2022 Posts 2,328 Reaction score 2,780 Apr 12, 2024 #9 Hurayra said: Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali Click to expand... inafanya mazoezi!!{jogging]
Hurayra said: Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali Click to expand... inafanya mazoezi!!{jogging]
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,752 Reaction score 22,323 Apr 12, 2024 #10 Kambaku said: View attachment 2961254 Click to expand... hapa nadhani ni mafunzo yalikuwa yanafanyika. Kuna marubani wapya labda walikuwa wanafanyiwa on job training
Kambaku said: View attachment 2961254 Click to expand... hapa nadhani ni mafunzo yalikuwa yanafanyika. Kuna marubani wapya labda walikuwa wanafanyiwa on job training