Mbona sity cover kama za v8Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko maguView attachment 1079138View attachment 1079139View attachment 1079141
Uwezo finyu Wa kufikiriNchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko maguView attachment 1079138View attachment 1079139View attachment 1079141
Kilaza mkubwa wewe. Unashindwa kujua kuwa zipo za model mbali mbali na mtu hununua kulingana na mahitaji yake. Umesoma shule kweli wewe?!Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko maguView attachment 1079138View attachment 1079139View attachment 1079141
Kweli wewe mshamba kabisa. Yaani mtu akinunua Brand New Toyota Land Cruiser GXL 5-door wagon na mtu mwingine akanunua Brand New Toyota Land Cruiser VX wagon yaani aliyenunua VX wagon ndiye amenunu mpya na aliyenunua GXL 5- door wagon ndiyo old model. Mbona sasa Land Cruiser zote nilizozitaja hapo juu ni brand new kwa sasa. Utofauti was kitu sio upya. Sasa Tanzania imenunua Brand New Bombardier Q300 na Q400 zinafahamika kama Bombardier Dash-8 ndege hizi zinatumia TURBOPROP engine ambazo zinatumia speed ya 360 kts na tumezipokea kutoka Kiwandani Canada. Uganda wamenunua Bombardier CRJ900 ndege hizi zinatumia JET engine ambazo zina speed ya 447kts. Uganda sio mara yao ya kwanza kuwa na ndege za Bombardier walishatumia Bombardier CRJ200 hapo mwanzo. Hivyo kampuni moja lakini ndege tofauti kama ilivyo kampuni ya magari ya Toyota.Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko maguView attachment 1079138View attachment 1079139View attachment 1079141
Kweli wewe mshamba kabisa. Yaani mtu akinunua Brand New Toyota Land Cruiser GXL 5-door wagon na mtu mwingine akanunua Brand New Toyota Land Cruiser VX wagon yaani aliyenunua VX wagon ndiye amenunu mpya na aliyenunua GXL 5- door wagon ndiyo old model. Mbona sasa Land Cruiser zote nilizozitaja hapo juu ni brand new kwa sasa. Utofauti was kitu sio upya. Sasa Tanzania imenunua Brand New Bombardier Q300 na Q400 zinafahamika kama Bombardier Dash-8 ndege hizi zinatumia TURBOPROP engine ambazo zinatumia speed ya 360 kts na tumezipokea kutoka Kiwandani Canada. Uganda wamenunua Bombardier CRJ900 ndege hizi zinatumia JET engine ambazo zina speed ya 447kts. Uganda sio mara yao ya kwanza kuwa na ndege za Bombardier walishatumia Bombardier CRJ200 hapo mwanzo. Hivyo kampuni moja lakini ndege tofauti kama ilivyo kampuni ya magari ya Toyota.


mshamba katika ubora wanguMbona Airbus 220-300 ilikuwa inaitwa Bombardier CS300.Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko maguView attachment 1079138View attachment 1079139View attachment 1079141




Ngoja waje wajuzi wa mambo ila ninavyojua umechanganya mafile
Usipende kuifananisha sit cover za v8 na mambo ya kijingaMbona sity cover kama za v8