ni kweli mzalendo, hususan katika maeneo yetu ya afrika. nadhani ni ile tabia yetu ya kutokujali na kutokujirekebisha kutokana na makosa yaliotokea.inasikitisha sana ila labda tutafika. matukio kama haya yakitokea bara ulaya yanapata uchunguzi na utafiti wa hali ya juu na kama kuna anaehusika basi huwa anawajibishwa lakini afrika bado tunahitaji muda kufika huko.