Sonship
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 263
- 337
Boma la vyumba 2 Linauzwa Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha mwisho wa hiace zinazotoka mbezi stendi
Linauzwa Mln 18 tu maongezi kidogo yapo
Ukubwa wa eneo ni 20x23(460 m2)
Vyumba 2(Master + single room)
Jiko na baraza mbele na nyuma
Public toilet na Sebule kubwa sana
Shimo la choo lipo limejengewa bado kufunikwa tu
Mtaa mzuri uliojengwa kisasa
Hati ni ya mkataba wa mauziano (sales agreement document).
0675 065906
Linauzwa Mln 18 tu maongezi kidogo yapo
Ukubwa wa eneo ni 20x23(460 m2)
Vyumba 2(Master + single room)
Jiko na baraza mbele na nyuma
Public toilet na Sebule kubwa sana
Shimo la choo lipo limejengewa bado kufunikwa tu
Mtaa mzuri uliojengwa kisasa
Hati ni ya mkataba wa mauziano (sales agreement document).
0675 065906