chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 200
Ni nyumba ambayo imefikia saizi ya lenta vyumba Vitatu (master) , sitting room, dinning room na jiko ipo kwenye uwanja wenye square meter 25 kwa 25 pamoja na matofali 200 ya kendelezea ujenzi. Nyumba ipo Mbezi malamba eneo la mzalendo.
Bei Mil 14 Maongezi yapo
Mawasiliano 0716 694 624
Bei Mil 14 Maongezi yapo
Mawasiliano 0716 694 624