huyo huyo ndiye kalitegaLimesha torewa lilionwa na aliyekuwa akipita eneo hilo ndipo akawahoji ma dreva tax wapale kisha akawasauri kutoka pale na utaratibu wakulitoa ukafanyika.
Sinema za kova.. Polisi ndo anakuja kugundua bomu? ... Maswali mengi hayana majibu hapo! Duh!
huyo huyo ndiye kalitega
😛opcorn:
Wadau Habari zilizosikika hivi punde ni kwamba kuna bom limeonekana maeneo ya makutano ya barabara ya shekilango na morogoro na eneo hilo kwa sasa liko chini ya ulinzi kwa ajili ya harakati za kuliondoa bom hili na kuepusha raia dhidi ya madhara amabayo yangeweza kutokea
Kweli umepata mstuko mpaka habari ya kawaida unaweka kwenye jukwaa la picha?