Bolingo Forum.........anza na kitu hicho

Bazee benzangu ambao tuna ka muda karefu hapa duniani kabla........bongo flava haijaja nadhani mnakumbuka jinsi ambavyo bolingo ilitushikaga sana enzi hizo. Sasa ni vizuri kupitia thread hii........tupeane vitu vizuri ili roho zetu zitulie...tujikumbushe zaidi mie nitakuwa nakuja na videos muweze kuona na kusikiliza. Pia nitawadirect software ya kudownload you tube musics na kuziconvert ili tuzisikie kwenye simu zetu , magari nk.

Leo naanza na kitu kinaitwa Liberez cha JB Mpiana kwa kweli utapenda........sikiliza sauti na gitaa yaaani acheni tu.

Jb Mpiana- Liberez (Quel Est Ton Probleme?) - YouTube


Nana Et Baniel - Tremblement De Terre - YouTube
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom