BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,155
- 2,171
Abubakar Shekau kiongozi wa sasa wa BH alikua leutenant comender wa Joseph Kony wa UGANDA na LRA Idiology yao ni kufight na kuhakikisha UGANDA inaongozwa kwa amri kumi za mungu TEN COMMANDMENTS na hawa wote ni roman catholic followers na ata Abubakar Shekau alikua mroman kabla ya kutofautiana na boss wake KONI so alitoroka na akaenda YEMEN ambako alijifunza uislam na kubadiri dini na kuja na IDIOLOGY OF SHARIA...ikumbukwe LRA imefanya maangamizi makubwa kuliko BH..source: SAHARA REPORTERS