Chemsha huo ubongo wako nikujue kichwa yako iko active ama iko doro.
Quiz ;-
Ni kinywaji maarufu sana, hunywewa kikiwa baridi, ama moto (upendavyo)
Jina lake la kwanza lipo kwa KINGEREZA.
Jina lake la pili ni jina MJI MAARUFU.
Jina la tatu ni la KIHALIFU.
Ukiyakusanya hayo majina matatu yanaleta jina la kinywaji hicho.
95% naamini ushawahi kunywa kinywaji hiki.