Nimekuwa nikijiuliza viongozi wetu hawafiki sehemu zenye matatizo kama hizi au hawaoni hizi picha kwenye magazeti .Pesa ambazo tunataka kuwalipa Dowans zinaweza kujenga VISIMA 18,800 kwa thamani ya milioni 5 kwa kisima.Tutasubiri wafadhili waje kutusaidia wakati tukiangalia priorities zetu ni zipi tukaachana na vitu vya kujikweza na kuwashungulikia mafisadi, mambo kama haya yako ndani ya uwezo wetu.Tupo tunawaza kujenga Fly-Overs wakati hata matatizo ya msingi kabisa wala hatujui kama yapo
kwanini ulifungua mkuuu inamaana unatetea mafisadi wewe!kichwa cha habari ni matusi sijapenda especial mimi sitetei mafisadi