Hii ilikuwa inashushwa au?You May Also Like These Galleries...
Read more: FAIL! - San Diego's Rock Station - Rock 105.3 KIOZ-FM
a.k.a miyeyusho tuuuuuuuu
anajifanya hajaumia
anajifanya hajaumia
baadae lazima akajichue na maji ya moto!a.k.a miyeyusho tuuuuuuuu
Mimi nikianguka kama hivyo huwa najifanya nimeumia angalau kidogo, atleast nitapata sympathy ya watu. kuliko ukikausha unakaribisha vichecko.
.
anajifanya tu ila ameumia sanaanajifanya hajaumia
Haah! alitaka ashuhudie maajabu mengine ya ushukaji ngazi!Umemuona huyo anaeongea kwa simu? anatazama hakuna mwingine anaeshuka namna hiyo.
anajifanya hajaumia