ukikatwa shingo huwezi kupita kweli utakuwa marehemuduh hata nikatwe shingo sithubutu kupita hapa
anakisikilizia ki ninihapo anakisikilizia
Wakazi wengi wa Visiwani Zanzibar wanapenda sana kutumia mikate ya Boflo kama ni chakula cha asubuhi,kutokana na kupanda bei kwa mikate hiyo hivi sasa hulundikana kwa wingi katika matenga kadhaa,pichani ni matenga ya mikate ikiwa imekaa wazi bila ya kufunika ukizingatia kipindi hiki cha upepo na mvua zinazonyesha.
View attachment 78089

wainuka zeze mgosi iwe?[/QUOTE
SAFI SANA NAONA BOFLO NDANI YA BOFLO (MADUTU) kwetu tunaita Bada hii kitu
Ulishawahi kuila kwa kuweka Bajia na chatine ndani yake?jitahidi upate wa mototmoto na Urojo wakuwekee na UKALI kidogo