Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
Biashara ya Mikate ya Boflo Zanzibar yadoda baada ya kupanda kwa bei
Wakazi wengi wa Visiwani Zanzibar wanapenda sana kutumia mikate ya Boflo kama ni chakula cha asubuhi,kutokana na kupanda bei kwa mikate hiyo hivi sasa hulundikana kwa wingi katika matenga kadhaa,pichani ni matenga ya mikate ikiwa imekaa wazi bila ya kufunika ukizingatia kipindi hiki cha upepo na mvua zinazonyesha.