Boflo Yuko Salama?

unamuona uyo mzungu mkono wake mmoja alipouweka, kama anakuna naniliu vile huku akionyesha dole kuwa tayari boflo ni mboga yake....boflo haponi hapo.
 
dirishani kuna neno tusker na jamaa alivyo na sura ngumu, yawezeka ni kwa kibaki
 
Huyo jamaa mwenye kapelo kitambi chake kipo weird....ni kama kajaza makaratasi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…