wakisema wanaambiwa ni mawazo mgando... badilikeni !, chama sasa sio kile tena cha kufa na kuzikana kama kilivyokua awali , sasa hivi kimekuwa ni cha kisiasa tena cha kitaifa
ukifika kwenye maandlizi ya mkutano zungumza na wale utakao wakuta wakiandaa jukwaa utakuta kama si wote basi asilimia tisini ni kutoka moshi...jamani !