Body to body massage ikoje?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
326
Reaction score
627
Jaman nimekua nikisikia hizi aina za massage mara full body then four hands massage lakin hii Body to body ikoje na je ni lazima mfanye mapenzi baada ya massage au mapenzi ni sehemu ya hio masaage
 
Ningekuwekea hapa ila ban itanihusu. Body to body massage labda ME asiwe na nguvu za kiume vinginevyo kufanya mapenzi ni kama KAWA. Na wapenzi wengine hii wanaitumia kama foreplay vile kabla ya mlo kamili.
 
Lakini sasa kaka kuna ile wanaita ya kufuata mteja unamfuata nyumbani kwake afu wanaweka sheria kwamba ni 1.30 hr mfano sasa kaja kwako ukizidisha hapo unachukuliwa hatua gan kwan anakuja na crew au?
 
Hiyo Kitu Lazima Utaloweka Bila Mfuko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Eti nimeambiwa body to body na extra massage Ni tsh. 100k! Kwa dakika 90. Bado nafikiria
 
Niliwahi kuomba hiyo huduma hata sikufanyiwa, niliishia kufanya kitu kingine ambacho ningeenda kinondoni ningeopoa hata watano. Sema tu alikuwa fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…