selection zimetoka na kila mmoja anajua cha kufanya swli linabaki vipi kuhusu majina ya waliokubaliwa kupewa mikopo yatatoka lini anaye jua au mwenye tetesi awajuze watu
Watu wanachaguliwa kwanza ndo allocation za mikopo zinafuata so kuwa mpole kama unabahat ya kupata mkopo utapata tu kama huna ujipange kunyoa au kusuka.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.