Mr. mfupa Member Joined Sep 29, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Oct 12, 2015 #1 jaman hivi nikwel bodi ya mkopo imeachia majna? au mtu anapataje taarifa binafsi kuhusu bodi hyo?
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Oct 12, 2015 #2 ingia kwenye tovuti yako au wafate makao makuu yao pale mwenge jijini dar es salaam
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Oct 12, 2015 #3 Mikopo ya nini wakati elimu ni bure?
Mr. mfupa Member Joined Sep 29, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Oct 12, 2015 Thread starter #5 Kapwila Matulu said: Mikopo ya nini wakati elimu ni bure? Click to expand... achana na siasa mtu angu.. wanataftia matumbo yao ty
Kapwila Matulu said: Mikopo ya nini wakati elimu ni bure? Click to expand... achana na siasa mtu angu.. wanataftia matumbo yao ty
Mr. mfupa Member Joined Sep 29, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Oct 12, 2015 Thread starter #6 V2d said: bado hawajatoa Click to expand... asantee.. naona watu cjui wanakurupukaa.. habar zmezagaa sana kuwa waisha achia.. nkapata kuchanganyikiwa
V2d said: bado hawajatoa Click to expand... asantee.. naona watu cjui wanakurupukaa.. habar zmezagaa sana kuwa waisha achia.. nkapata kuchanganyikiwa
I Iddimarisa Member Joined Jul 12, 2013 Posts 29 Reaction score 4 Oct 12, 2015 #7 Hili ni jambo la kujiongeza tu wadau... kuna baadhi ya vyuo bado hawajatoa batch la 2nd round na bado tcu hawamaliza mchakato wa 3rd round sasa vip Hesbl wa release majina...?!. hizo ni habar michepuko tu...
Hili ni jambo la kujiongeza tu wadau... kuna baadhi ya vyuo bado hawajatoa batch la 2nd round na bado tcu hawamaliza mchakato wa 3rd round sasa vip Hesbl wa release majina...?!. hizo ni habar michepuko tu...