ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Habari waungwana naomba kuuliza kwa yoyote anayejua hili naomba anisaidie , wakati wa kufanya maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa wale diploma holders kuna sehemu ya ku-attach matokeo ya diploma , je tuna attach copy ambayo ina mhuri wa mwanasheria au tuna-attach Yale original ambayo hayajagongwa mhuri alafu copy yake ndo tunagonga mhuri wa mahakama then tunatuma ile copy kwa ems au ikoje hapo ????? Naomba mwenye kujua anaelekeze apo