Habari zenu wana jf,I have something disturbing my brain, mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa tanzania now niko mwaka wa pili but nimepostpone masomo kwa sababu mbalimbali na nilikuwa nachukua mkopo toka bodi ya mikopo (heslb)but for now nataka kuapply chuo kingine na kozi ingine tofauti na niliyokuwa nasoma, so nachotaka kujua je nikiomba mkopo tena naweza kupata toka bodi ya mikopo
That is irrational decision! mwaka wa pili unaacha chuo? ungemaliza hiyo degree halafu ukasomea unayotaka baadae? hela zenyewe za mikopo unaona wenzio wengi wamekosa wewe unataka ukakope upya! kweli akili ni nywele
mimi npo chuo x naish na mtu y ambaye aliahirxha mwaka chuo z na sasa nipo naye hapa x as wote frxt year, alilipa robo ya mkopo heslb ili wampe tena, lakini hadi leo hana mkopo ndugu angu ,,. note x =sua, z= udsm