Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Washitaki kwa kukuchafulia jinaMimi ni mwl.sekondari naitwa Jickson Emmanuel Nkulikwa,napenda kupinga deni ambalo bodi mumenipa kama mdaiwa sugu.Je diploma mlianza lini kutoa mkopo? Nimesoma kwa kodi za baba yangu naomba mfute jina langu ktk kitabu cha hukumu.pia Natumia fursa hii kumshauri Rais Jpm kuichunguza bodi ya mikopo na ikiwezekana aitumbue kwani tumeandikwa wadaiwa hewa nikiwmo Mimi.kama walikula wawe wazi tuwadai au wanikopee ukweli kama uongo nipeleke mahakamani niwaburuze mbona hamjiandiki majina yenu.sitaki kuandika mengi mtasema mchochezi ila silipi na sitalipa ,JPM wabane bodi ya mikopo kwa majina hewa hela mle ninyi nilipe Mimi? Sina shaka na maelezo yangu ,contacts 0757658783.
Naona umejiunga JF ili utoe dukuduku lako.
Hii bodi sijui inafanyaje kazi zake.
Wanaweza kumdai hata aliyeishia darasa la 7😛😛😛
Umejuaje kama ni wewe? Majina yanaweza kufanana,au kuna mtu alilimwigulu jina lako,wakati unavaa uniform diploma yeye anakula boom udsm.Mimi ni mwl.sekondari naitwa Jickson Emmanuel Nkulikwa,napenda kupinga deni ambalo bodi mumenipa kama mdaiwa sugu.Je diploma mlianza lini kutoa mkopo? Nimesoma kwa kodi za baba yangu naomba mfute jina langu ktk kitabu cha hukumu.
Pia Natumia fursa hii kumshauri Rais Magufuli kuichunguza bodi ya mikopo na ikiwezekana aitumbue kwani tumeandikwa wadaiwa hewa nikiwemo Mimi. kama walikula wawe wazi tuwadai au wanikopee ukweli kama uongo nipeleke mahakamani niwaburuze
Mbona hamjiandiki majina yenu. sitaki kuandika mengi mtasema mchochezi ila silipi na sitalipa ,Raisi wabane bodi ya mikopo kwa majina hewa hela mle ninyi nilipe Mimi? Sina shaka na maelezo yangu ,contacts 0757658783.
Atakuwa aliaambiwa.hahahaha mkuu umenichekesha, najaribu kuwaza uliwaza nini kwenda kujitafuta wakati wajua si mdaiwa
Unalipa ulichopewa au ulichokopwa, sasa kama hajakopeshwa alipe nn?Lipa tu Ndugu yangu yaishe, utajiletea matatizo bure sasa hivi katiba imewekwa pembeni nchi inanyooshwa
Unaweza kuta amepewa taarifa na ndg maana hili ni janga kwa ukoo mzima, chezea kutaifishiwa mashamba aisee?hahahaha mkuu umenichekesha, najaribu kuwaza uliwaza nini kwenda kujitafuta wakati wajua si mdaiwa