Bodi ya mikopo ya elimu ya juu

beniko

Member
Dec 26, 2013
94
0
Wadau kuna watu humu ndani walisha wahi kusema unapofanya application za bodi ya mikopo cheti cha form 6 haki hakihitajiki. Je mbona kwenye zile form vyeti vyote vinahitajika F4 & F6 anae jua kuhusiana na hili wadau
 

beniko

Member
Dec 26, 2013
94
0
Hili nihasa kwale form 6 wa miaka ya nyuma. Je, usipo ambatanisha ivo mfano cheti cha form 6 uka ambatanisha cha form 4 peke yake na vyeti vingine kutakua na matatizo sana?
 

service

JF-Expert Member
May 22, 2014
2,988
2,000
ambatanisha kulingafana na mwongozo Wa form ukisikuliza maneno ya watu bila kuzingatia form inakwambia nini? boom utaishia kulisikia redio kama ndio unahitimu form six result slip!!!!!
 

service

JF-Expert Member
May 22, 2014
2,988
2,000
Hili nihasa kwale form 6 wa miaka ya nyuma. Je, usipo ambatanisha ivo mfano cheti cha form 6 uka ambatanisha cha form 4 peke yake na vyeti vingine kutakua na matatizo sana?

hupati boom mkuu zingatia maelezo hata passport tu ukisahau wewe boom kwako ni ndoto kabisa!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom