Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini?

Relax mkuu hapo ni taarifa zinahakikiwa tu na mwisho wa maombi bado ndio maana bado watu wanaomba mkuu.
In short ushamaliza kila kitu subiri kupewa mkopo au kukosa.

Stage inayofata hapo inaitwa view application status hii ndo inaonuesha kua information zako wamezipitia na zimekua confirmed so usubir allocation process

Kama taasisi kubwa kama HESLB ndo walikuandikia kiingereza cha hivi, basi elimu yetu inahitaji mfungo wa maombi ya siku 40, tena bila kumeza hata mate.