Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) ni hovyo sana

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Bodi ya Mikopo ni hovyo sana sijui wanatumia criteria gani kuchagua Wanufaika maana hadi Watoto Yatima wanakosa Mkopo na vyeti vya Vifo vipo verified na ukiangalia Account ya Mwombaji kwenye application verification ipo Verified na bado anakosa Mkopo

Hii Bodi ni hovyo sana pamoja na Mkurugenzi wake hakuna wanalofanya Watoto maskini na Yatima wananyimwa Mkopo na vigezo vyote wanavyo

Mh Rais aliangalie hili kwa jicho la tatu Wanakwamisha ndogo za watu wengi wanashindwa kuendelea na vyuo kwa kukosa mkopo huku uwezo wa kulipia ada hawana

Abdul Badru ajiuzulu alichofanya kwa mwaka huu sio sahihi kabisa kama Yatima anakosa mkopo na vigezo vyote anavyo na Account yake imekuwa verified
 
Back
Top Bottom