Bodi ya mikopo Tanzania ( msaada wanajamvi)

Kwanini unaomba mkopo wakati bodi hawajaanza bado kupokea maombi? Maana sijaona tangazo lolote kwenye TV, kusikia kwenye redio wala kusoma kwenye tovuti yao www.heslb.go.tz wewe mwenzetu UMEPATA WAPI HIZO TAARIFA?
 
Umeliwa,hawajaanza kupokea maombi
 
 
Maombi bado ndugu, au wewe una bodi yako ya mkopo? Hebu ingia muda huu ktk tovuti ya bodi then ukiliona tangazo screen shot halaf tuma tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…