asiyetabirika
Member
- Oct 14, 2019
- 46
- 55
Majina ya waliopangiwa mikopo awamu ya kwanza ( wale ambao maombi yao hayana makosa) yatatoka kesho kutwa oktoba 17.Kwa niaba ya wananchi wanyonge na wenye kipato cha chini naomba nitokwe na maoni yangu juu ya mchakato uliopo bodi ya mikopo tokea hatua ya kuomba mkopo hadi kuja kupata matokeo kuwa umepata mkopo au haujapata.
Hadi sasa imekuwa ni muda mrefu sana unaotumiwa na bodi ya mikopo hadi kuja kutoa matokeo yaani hadi siku za kufunguliwa kwa vyuo zinakaribia majibu ya mikopo bado hayajatoka ikizingatiwa wao ndio huanza mapema kupokea maombi ukilinganisha na TCU, hii hali ya kuchelewa kwa majibu ya mikopo yanaweza athiri sana familia za watoto wa wanyonge/ masikini hasa endapo itatokea mtoto atakosa mkopo kwani kitendo cha majibu ya mikopo kutoka karibu na tarehe za kufungua vyuo kutasababisha muda wa maandalizi kuwa mchache hasa kwa wale ambao wanauwezo wa kuchangisha kidogokidogo kutoka kwa ndugu/jamaa ama kukopa kwa lengo la kuja kurudisha baada ya kupata mkopo. Lakini pia hii adha inaweza ikaleta athali hata kwa wale watakaolipiwa asilimia chache kwenye tuition fee (ada) kwani muda wa kutafuta pesa ya kujazia unaweza ukawa ni changamoto kwao.
Ombi langu nikuona nafasi ya teknolojia ikionekana hasa kwenye kuokoa muda, kwani kwa sasa tumeona maombi yanatumwa kwa mtandao tofauti na miaka yetu huko nyuma ya analojia, natumaini maoni yangu yatawafikia walengwa na yatazingatiwa kwa maslahi mapana ya jamii za wanyonge.
Kwa niaba ya wananchi wanyonge na wenye kipato cha chini naomba nitokwe na maoni yangu juu ya mchakato uliopo bodi ya mikopo tokea hatua ya kuomba mkopo hadi kuja kupata matokeo kuwa umepata mkopo au haujapata.
Hadi sasa imekuwa ni muda mrefu sana unaotumiwa na bodi ya mikopo hadi kuja kutoa matokeo yaani hadi siku za kufunguliwa kwa vyuo zinakaribia majibu ya mikopo bado hayajatoka ikizingatiwa wao ndio huanza mapema kupokea maombi ukilinganisha na TCU, hii hali ya kuchelewa kwa majibu ya mikopo yanaweza athiri sana familia za watoto wa wanyonge/ masikini hasa endapo itatokea mtoto atakosa mkopo kwani kitendo cha majibu ya mikopo kutoka karibu na tarehe za kufungua vyuo kutasababisha muda wa maandalizi kuwa mchache hasa kwa wale ambao wanauwezo wa kuchangisha kidogokidogo kutoka kwa ndugu/jamaa ama kukopa kwa lengo la kuja kurudisha baada ya kupata mkopo. Lakini pia hii adha inaweza ikaleta athali hata kwa wale watakaolipiwa asilimia chache kwenye tuition fee (ada) kwani muda wa kutafuta pesa ya kujazia unaweza ukawa ni changamoto kwao.
Ombi langu nikuona nafasi ya teknolojia ikionekana hasa kwenye kuokoa muda, kwani kwa sasa tumeona maombi yanatumwa kwa mtandao tofauti na miaka yetu huko nyuma ya analojia, natumaini maoni yangu yatawafikia walengwa na yatazingatiwa kwa maslahi mapana ya jamii za wanyonge.
Je Unajua matokeo ya vyuo yametoka lini? Tokea TCU watoe matokeo ya waliopata vyuo hadi sasa ni muda gani umepita?sifa mojawapo ya kupata mkopo nilazima uwe umepata na chuo, so hawawezi kutoa mapema wakati zoezi la kuomba vyuo bado lilikuwa linaendeleaa..
Majina batch one wanatoa leo, kuhusu utaratibu wa kutoa majina mapema ni mzuri ila uta depend na mombi ya chuo yataanza kufanyika lini..Unajitahidi sana kujenga hoja yako ili uwaaminishe wengine kuwa wako sahihi, lakini ebu fikilia tu kidogo Leo ni trashed 17,majina hayajatoka kwa kigezo cha kusubilia wengine kufNy malekebisho ni jambo uzuri sana maana kila mtanzania anao haki ,lakini kumbuka vyuo vinaanza kupokea wanachuo kuanza tarehe 26 Oct je zimebaki siku ngapi hapo ? At uje uambiwe dada yako kakosa mkopo hivyo inatakiwa kumtafutia million moja ili aweze kuripoti je kwa muda chance huo utafanikiwa kuipata kama wewe ni mtanzania Halisi mwenye kipato cha Chini ,Hapana watu wanashauri kuwa angalau kuwepo na utaratibu wa muda ili ata kama i natokea kijana kakosa basi uwepo muda wa ndugu jamaa kujichanga ,
Majina ya waliopangiwa mikopo awamu ya kwanza ( wale ambao maombi yao hayana makosa) yatatoka kesho kutwa oktoba 17.
Kwa hiyo usihofu,
Umeelewa vizuri alichoongea mtoa mada?
anachojaribu kushauri ni kwamba bodi ya mikopo iwe inatoa majibu mapema kabla tarehe za kufungua vyuo hazijakaribia ili mtu ajue kama amepata au amekosa.
Sasa kama majina yametoka tarehe 17 Oktoba na vyuo vinafunguliwa Novemba 4, bado siyo mapema hiyo? watoto wenyewe wengi wao wametuma maombi yenye mapungufu, kila siku wanaongezewa muda wafanye marekebisho lakini mpaka leo hii wapo baadhi bado hawajakamilisha kufanya marekebisho kwenye maombi yao ya mikopo. Hili nalo ni la kuwalaumu HESLB?
Mkuu naona hujaelewa hoja husika, hata hao watoto wangekosea mara ngapi tunajua bodi wanafanya kazi kwa deadline.. Shida ni uharaka wa kutoa majibu ili aliyepata ajue na asiyepata ajijue ili ajipangaje.Sasa kama majina yametoka tarehe 17 Oktoba na vyuo vinafunguliwa Novemba 4, bado siyo mapema hiyo? watoto wenyewe wengi wao wametuma maombi yenye mapungufu, kila siku wanaongezewa muda wafanye marekebisho lakini mpaka leo hii wapo baadhi bado hawajakamilisha kufanya marekebisho kwenye maombi yao ya mikopo. Hili nalo ni la kuwalaumu HESLB?